-
Yeremia 36:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi wewe ndiye utakayeingia na kusoma kwa sauti maneno ya Yehova yaliyo katika kitabu cha kukunjwa ulichoandika nilipokuwa nikiyasema. Yasome watu wakisikia katika nyumba ya Yehova siku ya kufunga; basi utawasomea watu wote wa Yuda wanaokuja kutoka katika majiji yao.
-