Yeremia 36:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Isitoshe, mfalme akawaamuru Yerahmeeli mwana wa mfalme, Seraya mwana wa Azrieli, na Shelemia mwana wa Abdeeli wamkamate mwandishi Baruku na nabii Yeremia, lakini Yehova akaendelea kuwaficha.+
26 Isitoshe, mfalme akawaamuru Yerahmeeli mwana wa mfalme, Seraya mwana wa Azrieli, na Shelemia mwana wa Abdeeli wamkamate mwandishi Baruku na nabii Yeremia, lakini Yehova akaendelea kuwaficha.+