-
Yeremia 37:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini Yeremia akasema: “Si kweli! Mimi sikimbii kwenda kwa Wakaldayo.” Lakini hakumsikiliza. Basi Iriya akamkamata Yeremia na kumpeleka kwa wakuu.
-