-
Yeremia 38:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ndipo mfalme akamwamuru hivi Ebed-meleki Mwethiopia: “Chukua watu 30 kutoka mahali hapa, nawe umvute nabii Yeremia kutoka katika tangi hilo kabla hajafa.”
-