Yeremia 38:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ndipo mfalme akamwamuru Ebed-meleki Mwethiopia, akisema: “Chukua watu 30 chini ya usimamizi wako kutoka mahali hapa, nawe umwondoe Yeremia nabii katika lile tangi kabla hajafa.”+
10 Ndipo mfalme akamwamuru Ebed-meleki Mwethiopia, akisema: “Chukua watu 30 chini ya usimamizi wako kutoka mahali hapa, nawe umwondoe Yeremia nabii katika lile tangi kabla hajafa.”+