11 Basi Ebed-meleki akawachukua wale watu na kwenda kwenye nyumba ya mfalme sehemu iliyokuwa chini ya hazina,+ naye akachukua kutoka sehemu hiyo matambara yaliyochakaa na vipande vya nguo vilivyochakaa na kumshushia Yeremia ndani ya tangi hilo kwa kamba.