-
Yeremia 38:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Lakini Yeremia akasema: “Hutatiwa mikononi mwao. Tafadhali, itii sauti ya Yehova kuhusiana na yale ninayokuambia, na mambo yatakuendea vema, nawe utaendelea kuishi.
-