-
Yeremia 38:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Baadaye wakuu wote wakamjia Yeremia na kumuuliza maswali. Akawaambia mambo yote ambayo mfalme alimwamuru aseme. Basi hawakumwambia jambo lolote zaidi, kwa maana hakuna mtu aliyesikia mazungumzo hayo.
-