Yeremia 38:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Baadaye wakuu wote wakamjia Yeremia na kuanza kumuuliza maswali. Yeye naye akawaambia kulingana na maneno hayo yote ambayo mfalme alikuwa ameamuru.+ Kwa hiyo wakanyamaza mbele yake, kwa maana habari hiyo haikusikiwa.
27 Baadaye wakuu wote wakamjia Yeremia na kuanza kumuuliza maswali. Yeye naye akawaambia kulingana na maneno hayo yote ambayo mfalme alikuwa ameamuru.+ Kwa hiyo wakanyamaza mbele yake, kwa maana habari hiyo haikusikiwa.