Yeremia 40:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Basi Yeremia akaenda kwa Gedalia mwana wa Ahikamu kule Mispa+ na kukaa pamoja naye miongoni mwa watu waliobaki nchini.
6 Basi Yeremia akaenda kwa Gedalia mwana wa Ahikamu kule Mispa+ na kukaa pamoja naye miongoni mwa watu waliobaki nchini.