-
Yeremia 40:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Na Wayahudi wote waliokuwa Moabu, Amoni, na Edomu, na wale waliokuwa katika nchi nyingine zote, wakasikia pia kwamba mfalme wa Babiloni alikuwa amewaacha watu fulani wabaki Yuda na kwamba alikuwa amemweka Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani awe msimamizi wao.
-