-
Yeremia 41:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini kulikuwa na watu kumi kati yao waliomwambia Ishmaeli: “Usituue, kwa maana shambani tuna maghala yaliyofichwa ya ngano, shayiri, mafuta, na asali.” Basi hakuwaua pamoja na ndugu zao.
-