Yeremia 44:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Kwa nini mnikasirishe kwa kazi za mikono yenu kwa kuitolea dhabihu miungu mingine katika nchi ya Misri, ambako mmeenda kukaa? Mtaangamia na kuwa kitu cha kulaaniwa na shutuma miongoni mwa mataifa yote ya dunia.+
8 Kwa nini mnikasirishe kwa kazi za mikono yenu kwa kuitolea dhabihu miungu mingine katika nchi ya Misri, ambako mmeenda kukaa? Mtaangamia na kuwa kitu cha kulaaniwa na shutuma miongoni mwa mataifa yote ya dunia.+