8 kwa kunitia uchungu mimi kwa kazi za mikono yenu kwa kuifukizia miungu mingine moshi wa dhabihu+ katika nchi ya Misri, ambako mnaingia ili kukaa mkiwa wageni; kwa kusudi la kusababisha kukatiliwa mbali kwenu na kwa kusudi la ninyi kuwa laana na shutuma kati ya mataifa yote ya dunia?+