-
Yeremia 44:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na watu wa Yuda waliobaki ambao wameenda kukaa nchini Misri hawataponyoka wala kuokoka na kurudi kwenye nchi ya Yuda. Watatamani kurudi na kukaa huko, lakini hawatarudi, isipokuwa wachache watakaoponyoka.’”
-