-
Yeremia 48:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 “‘Kwa hiyo tazama! siku zinakuja,’ asema Yehova, ‘nitakapowatuma watu wawapindue. Watawapindua na kumwaga kabisa kile kilicho ndani ya vyombo vyao, nao wataivunja mitungi yao mikubwa vipandevipande.
-