-
Yeremia 48:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 ‘Jinsi alivyo na hofu! Ombolezeni!
Jinsi Moabu alivyougeuza mgongo wake kwa aibu!
Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa,
Kitu cha kutisha kwa wote wanaomzunguka.’”
-