-
Yeremia 49:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 “Tazameni! Kama simba anayetoka kwenye vichaka+ vikubwa kando ya Yordani, mtu fulani atayashambulia malisho yaliyo salama, lakini kwa muda mfupi nitamfanya Edomu akimbie kutoka nchini. Nami nitaweka juu ya nchi hiyo yule aliyechaguliwa. Kwa maana ni nani aliye kama mimi, na ni nani atakayenipinga? Ni mchungaji gani anayeweza kusimama mbele zangu?+
-