-
Yeremia 51:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nitakutumia kumvunjavunja mwanamume na mwanamke.
Nitakutumia kumvunjavunja mzee na mvulana.
Nitakutumia kumvunjavunja mwanamume na mwanamke kijana.
-