-
Yeremia 51:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na kupitia wewe nitamvunja mwanamume na mwanamke vipande-vipande, na kupitia wewe nitamvunja mzee na mvulana vipande-vipande, na kupitia wewe nitamvunja mwanamume kijana na bikira vipande-vipande.
-