Yeremia 51:59 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 59 Hili ndilo neno ambalo nabii Yeremia alimwamuru Seraya mwana wa Neria+ mwana wa Mahseya alipoenda na Mfalme Sedekia wa Yuda huko Babiloni katika mwaka wa nne wa utawala wake; Seraya alikuwa msimamizi wa makao.
59 Hili ndilo neno ambalo nabii Yeremia alimwamuru Seraya mwana wa Neria+ mwana wa Mahseya alipoenda na Mfalme Sedekia wa Yuda huko Babiloni katika mwaka wa nne wa utawala wake; Seraya alikuwa msimamizi wa makao.