Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 32:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 kisha nikampa hati hiyo ya ununuzi Baruku+ mwana wa Neria+ mwana wa Mahseya mbele ya Hanameli mwana wa ndugu ya baba yangu, wale mashahidi walioandika kwenye hati ya ununuzi, na Wayahudi wote waliokuwa wameketi katika Ua wa Walinzi.+

  • Yeremia 36:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kisha Yeremia akamwita Baruku+ mwana wa Neria, naye Yeremia akamwambia maneno yote ambayo Yehova alikuwa amemwambia, naye Baruku akayaandika maneno hayo katika kitabu cha kukunjwa Yeremia alipokuwa akiyasema.+

  • Yeremia 45:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Hili ndilo neno ambalo nabii Yeremia alimwambia Baruku+ mwana wa Neria alipoandika katika kitabu maneno haya aliyoambiwa na Yeremia+ katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki