Maombolezo 2:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Moyo wao unamlilia Yehova kwa sauti, Ee ukuta wa binti ya Sayuni. Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku. Usipumzike, macho yako yasiache kulia.*
18 Moyo wao unamlilia Yehova kwa sauti, Ee ukuta wa binti ya Sayuni. Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku. Usipumzike, macho yako yasiache kulia.*