Maombolezo 4:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 “Nendeni zenu! Wachafu!” watu wanawaambia kwa sauti. “Nendeni zenu! Nendeni zenu! Msituguse!” Kwa maana hawana makao, nao wanatangatanga. Miongoni mwa mataifa watu wamesema: “Hawawezi kukaa hapa pamoja nasi.*+
15 “Nendeni zenu! Wachafu!” watu wanawaambia kwa sauti. “Nendeni zenu! Nendeni zenu! Msituguse!” Kwa maana hawana makao, nao wanatangatanga. Miongoni mwa mataifa watu wamesema: “Hawawezi kukaa hapa pamoja nasi.*+