-
Ezekieli 1:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Waliposonga, magurudumu hayo yalisonga; na waliposimama tuli, nayo yalisimama tuli; na walipoinuliwa juu kutoka duniani, magurudumu yaliinuliwa juu pamoja nao, kwa maana roho iliyokuwa ikitenda katika wale viumbe hai ilikuwa pia katika yale magurudumu.
-