Ezekieli 5:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Utakuwa kitu cha kushutumiwa na kudharauliwa,+ mfano wa kuonya na tisho kwa mataifa yanayokuzunguka, nitakapotekeleza hukumu dhidi yako kwa hasira na ghadhabu na kwa adhabu kali. Mimi, Yehova, nimesema.
15 Utakuwa kitu cha kushutumiwa na kudharauliwa,+ mfano wa kuonya na tisho kwa mataifa yanayokuzunguka, nitakapotekeleza hukumu dhidi yako kwa hasira na ghadhabu na kwa adhabu kali. Mimi, Yehova, nimesema.