-
Ezekieli 16:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Lakini ulipojenga kilima chako katika sehemu zinazoonekana zaidi za kila barabara na kutengeneza mahali pako pa juu katika kila kiwanja cha jiji, hukuwa kama kahaba, kwa sababu ulikataa malipo yoyote.
-