-
Ezekieli 16:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Ulipojenga kilima chako kwenye kichwa cha kila njia na kufanya kilele chako mwenyewe katika kila kiwanja cha watu wote, hata hivyo ukawa tofauti na kahaba kwa kudharau malipo.
-