Ezekieli 17:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Kisha akachukua baadhi ya mbegu za nchi hiyo+ na kuziweka katika shamba lenye rutuba. Akaipanda mbegu moja kama mti wa mvinje kando ya maji mengi. Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:5 Ibada Safi, kur. 85-86 Mnara wa Mlinzi,9/15/1988, uku. 17
5 Kisha akachukua baadhi ya mbegu za nchi hiyo+ na kuziweka katika shamba lenye rutuba. Akaipanda mbegu moja kama mti wa mvinje kando ya maji mengi.