-
Ezekieli 17:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Nitalipanda juu ya mlima mrefu wa Israeli; na matawi yake yatakua, nalo litazaa matunda na kuwa mwerezi mkubwa. Na ndege wa kila aina wataishi chini yake na kukaa kwenye kivuli cha majani yake.
-