-
Ezekieli 19:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Wakamweka katika kizimba kwa kulabu na kumpeleka kwa mfalme wa Babiloni.
Wakamfunga huko ili sauti yake isisikike tena kwenye milima ya Israeli.
-