-
Ezekieli 20:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 “‘Kama nilivyowahukumu mababu zenu katika nyika ya nchi ya Misri, ndivyo nitakavyowahukumu ninyi,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.
-