Ezekieli 23:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Basi wana wa Babiloni wakaendelea kuja kwenye kitanda chake cha mapenzi, nao wakamchafua kwa uchu wao.* Baada ya kuchafuliwa nao, akawaacha akiwa amechukizwa.
17 Basi wana wa Babiloni wakaendelea kuja kwenye kitanda chake cha mapenzi, nao wakamchafua kwa uchu wao.* Baada ya kuchafuliwa nao, akawaacha akiwa amechukizwa.