Ezekieli 24:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Vilemba vyenu vitakuwa kwenye vichwa vyenu na viatu vyenu kwenye miguu yenu. Hamtaomboleza wala kulia. Badala yake mtaoza katika makosa yenu,+ na kila mmoja wenu atamlilia mwenzake kwa maumivu.
23 Vilemba vyenu vitakuwa kwenye vichwa vyenu na viatu vyenu kwenye miguu yenu. Hamtaomboleza wala kulia. Badala yake mtaoza katika makosa yenu,+ na kila mmoja wenu atamlilia mwenzake kwa maumivu.