Ezekieli 26:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kwato za farasi wake zitakanyaga-kanyaga barabara zako zote;+ atawaua watu wako kwa upanga, na nguzo zako kubwa zitaporomoka ardhini.
11 Kwato za farasi wake zitakanyaga-kanyaga barabara zako zote;+ atawaua watu wako kwa upanga, na nguzo zako kubwa zitaporomoka ardhini.