-
Ezekieli 27:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Katika soko lako walibadilishana nawe mavazi maridadi, majoho yaliyotengenezwa kwa kitambaa cha bluu na vitambaa vyenye rangi mbalimbali vilivyotariziwa, na mazulia ya rangi mbalimbali, yote yakiwa yamefungwa kabisa kwa kamba.
-