-
Ezekieli 27:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Walikuwa wafanya-biashara wako katika mavazi ya fahari, katika mitandio ya kitambaa cha bluu na kitambaa cha rangi mbalimbali na katika mazulia ya nguo za rangi mbili, katika kamba zilizosokotwa na kufanywa kuwa thabiti, katika kituo chako cha kufanyia biashara.
-