-
Ezekieli 31:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Ndiyo sababu ulikuwa mrefu kuliko miti mingine yote ya shambani.
Na vitawi vyake viliongezeka, na matawi yake yakawa marefu
Kwa sababu ya maji mengi ya vijito vyake.
-