-
Ezekieli 32:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Huu ni wimbo wa huzuni, na hakika watu watauimba;
Mabinti wa mataifa watauimba.
Wataiimbia nchi ya Misri na umati wake wote,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”
-