-
Ezekieli 32:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Wamemtengenezea kitanda kati ya watu waliouawa, pamoja na umati wake wote kuzunguka makaburi yake. Wote hawajatahiriwa, na waliuawa kwa upanga, kwa sababu walisababisha hofu katika nchi ya walio hai; nao watabeba aibu yao pamoja na wale wanaoshuka chini shimoni.* Amewekwa miongoni mwa wale waliouawa.
-