-
Ezekieli 32:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Katikati ya waliouawa wameweka kitanda+ kwa ajili yake katikati ya umati wake wote. Makaburi yake yanakizunguka pande zote. Hao wote hawajatahiriwa, wakiwa wameuawa kwa upanga,+ kwa sababu hofu yao ilisababishwa katika nchi ya wale walio hai; nao watachukua fedheha yao pamoja na wale wanaoshuka kuingia katika shimo. Yeye amewekwa katikati ya waliouawa.
-