-
Ezekieli 32:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 “‘Kwa kuwa alisababisha hofu katika nchi ya walio hai, Farao na umati wake wote watalazwa ili wapumzike pamoja na watu ambao hawajatahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”
-