-
Ezekieli 39:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Watu watapewa kazi ya kupitapita nchini daima na kuizika miili iliyobaki juu ya dunia, ili kuitakasa dunia. Wataendelea kutafuta kwa miezi hiyo saba.
-