-
Ezekieli 39:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “ ‘Na kutakuwa na watu kwa ajili ya kazi ya kuajiriwa yenye kuendelea ambao watawatenga, wakipita katikati ya nchi, wakizika, na wale wanaopita katikati, wale waliobaki kwenye uso wa dunia, ili kuisafisha. Mpaka mwisho wa miezi saba wataendelea kutafuta.
-