-
Ezekieli 40:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Eneo lililogawanywa lililokuwa mbele ya vyumba vya walinzi kila upande lilikuwa na kipimo cha mkono mmoja. Vyumba vya walinzi pande zote mbili vilikuwa mikono sita kila kimoja.
-