-
Ezekieli 40:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na eneo lililozungushiwa ua mbele ya vyumba vya walinzi lilikuwa mkono mmoja, na kulikuwa na eneo la mkono mmoja kila upande lililozungushiwa ua. Na chumba cha mlinzi kilikuwa mikono sita upande huu na mikono sita upande ule.
-