-
Ezekieli 40:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kulikuwa na lango katika ua wa ndani lililotazamana na lango la kaskazini na lingine lililotazamana na lango la mashariki. Alipima urefu kutoka lango moja hadi lingine, nao ulikuwa mikono 100.
-