-
Ezekieli 40:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na lango la ua wa ndani lilielekeana na lango la upande wa kaskazini; pia lile la upande wa mashariki. Naye akapima kutoka lango moja mpaka lango lingine mikono mia moja.
-