-
Ezekieli 40:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Zile meza nne za dhabihu nzima za kuteketezwa zilitengenezwa kwa mawe yaliyochongwa. Zilikuwa na urefu wa mkono mmoja na nusu, upana wa mkono mmoja na nusu, na kimo cha mkono mmoja. Juu yake waliweka vifaa vilivyotumiwa kuwachinjia wanyama wa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu nyingine.
-