-
Ezekieli 40:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Na zile meza nne kwa ajili ya toleo zima la kuteketezwa zilikuwa za mawe yaliyochongwa. Urefu wake mkono mmoja na nusu, na upana wake mkono mmoja na nusu, na kimo kilikuwa mkono mmoja. Juu yake pia walikuwa wakiweka vifaa ambavyo walikuwa wakitumia kuchinjia toleo zima la kuteketezwa na ile dhabihu.
-